Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia
Picha hii iliyopigwa Mei 26, 2023 ikionyesha roboti ya kufanya upasuaji hospitalini inayoonyeshwa kwenye Eneo la Maonyesho ya Kielelezo cha Uvumbuzi wa Kujitegemea wa Kitaifa katika Kituo cha Maonesho ya Zhongguancun mjini Beijing, China. (Xinhua/Ren Chao)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha