Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2023
Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu
Mchezaji wa China Zhang Boheng akipunga mkono kwa watazamaji baada ya kushiriki kwenye mashindano ya jeminestik tarehe 4, Agosti. Siku hiyo Zhang alinyakua ubingwa katika fainali ya mchezo wa jeminestik kwa wanaume kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia huko Chengdu, China. (Picha ilipigwa na Zhang Liyun/Xinhua)

Tarehe 4, wachezaji wa vyuo vikuu wa China waliendelea kushindana uwanjani kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya FISU huko Chengdu, wakijiongezea medali 12 zaidi za dhahabu na kuongoza kwenye jedwali la orodha ya medali za dhahabu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha