Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2023
Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu
Wachezaji wa China Xu Yingbin (kushoto) na Xue Fei wakishiriki kwenye mashindano tarehe 4, Agosti. Siku hiyo, wachezaji hao wawili walinyakua ubingwa katika fainali ya mchezo wa mpira wa meza kwa wanaume kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia huko Chengdu, China. (Picha ilipigwa na Zhao Zishuo/Xinhua)

Tarehe 4, wachezaji wa vyuo vikuu wa China waliendelea kushindana uwanjani kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya FISU huko Chengdu, wakijiongezea medali 12 zaidi za dhahabu na kuongoza kwenye jedwali la orodha ya medali za dhahabu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha