Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2023
Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu
Picha ikionesha mwanariadha wa China Wu Yanni baada ya mashindano ya tarehe 4, Agosti. Siku hiyo Wu alishinda nafasi ya pili katika fainali ya mbio za mita 100 za kuruka vihunzi kwa wanawake kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia huko Chengdu, China. (Picha ilipigwa na Li Jing/Xinhua)

Tarehe 4, wachezaji wa vyuo vikuu wa China waliendelea kushindana uwanjani kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya FISU huko Chengdu, wakijiongezea medali 12 zaidi za dhahabu na kuongoza kwenye jedwali la orodha ya medali za dhahabu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha