Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2023
Michezo ya Chengdu Universiade: Timu ya China yapata medali 12 zaidi za dhahabu
Mwogeleaji wa timu ya China Liu Yaxin akishiriki kwenye fainali tarehe 4, Agosti. Siku hiyo timu ya China ilinyakua ubingwa katika fainali ya kuogelea kwa kupokezana mita 4x100 kwa wanawake ya Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia huko Chengdu, China. (Picha ilipigwa na Chen Zeguo/Xinhua)

Tarehe 4, wachezaji wa vyuo vikuu wa China waliendelea kushindana uwanjani kwenye Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya FISU huko Chengdu, wakijiongezea medali 12 zaidi za dhahabu na kuongoza kwenye jedwali la orodha ya medali za dhahabu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha