Maji machafu yaliyochafuliwa kwa mionzi ya nyuklia ya Japani yachochea hasira (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023

Mwandamanaji huko Tokyo, Japan akiwa ameshikilia bango lenye maandishi yanayosomeka kwa Lugha ya Kijapani "Usitiririshe maji machafu ya sumu baharini," wakati wa maandamano ya tarehe 25 Agosti kupinga Japan kutiririsha maji yenye sumu ya nyuklia. (KIM KYUNG-HOON/REUTERS)

"Hata kama wavuvi watakapovua kamba wa bluu, wafanyabiashara hawanunui hata baada ya bei yake kushuka zaidi ya nusu," Kim Young-bok, mvuvi mwenye umri wa miaka 63 kutoka kaunti ya pwani ya kusini magharibi ya Yeonggwang, amesema wakati wa maandamano.

"Masoko ya bei ya jumla ya bidhaa za baharini (mjini Seoul, Busan, na miji mingine) yanashuhudia kupungua kwa biashara," amesema.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha