

Lugha Nyingine
Maji machafu yaliyochafuliwa kwa mionzi ya nyuklia ya Japani yachochea hasira (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023
Maji machafu yenye sumu kutoka kinu cha nyuklia cha Fukushima Daiichi yakitiririshwa baharini tarehe 24 Agosti. (GETTY IMAGES) ni (mjini Seoul, Busan, na miji mingine) yanashuhudia kupungua kwa biashara," amesema.
"Ikiwa ni salama na hakuna shida, kwa nini Japan isihifadhi (maji machafu ya sumu) kwenye ardhi yake lakini iyatiririshe kwenye Bahari ya Pasifiki, kisima cha ulimwengu, kusababishia wasiwasi kwa kila mmoja na kuharibu afya ya kila mtu?" amesema Lee Jae-myung, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Kidemokrasia.
Lee ameita utiririshaji huo wa maji machafu ya sumu kuwa "uchokozi dhidi ya ubinadamu" na kuitaka Tokyo kuacha mara moja utiririshaji huo wa maji ambao unatishia usalama wa watu kote ulimwenguni.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma