Shughuli za Kilimo cha majira ya baridi zayafanywa kwa juhudi kubwa kote nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
Shughuli za Kilimo cha majira ya baridi zayafanywa kwa juhudi kubwa kote nchini China
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 22, 2023 ikionesha wakulima wakitandaza kifuniko kwa miche shambani kwenye Kijiji cha Lizhuang kilichoko Eneo la Gaocheng katika Mji wa Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China (Picha na Liang Zidong/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha