Shughuli za Kilimo cha majira ya baridi zayafanywa kwa juhudi kubwa kote nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
Shughuli za Kilimo cha majira ya baridi zayafanywa kwa juhudi kubwa kote nchini China
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 22, 2023 ikionesha wakulima wakihamisha miche kwenye kituo cha upandaji miche cha Wilaya ya Yongfeng iliyoko Mji wa Ji’an katika Mkoa wa Jiangxi, Mashariki mwa China (Picha na Liu Haojun/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha