Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2023
Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu
Askari wa Jeshi la Umma la Polisi la China (PAPF) wakijenga mahema kwenye Kijiji cha Gaoli cha tarafa ya Liuji ya Wilaya ya Jishishan katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 20, 2023. (Xinhua/ Wang Yiwei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha