Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2023
Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu
Wanajeshi wakitoa huduma za matibabu kwa watu walioathiriwa na tetemeko la ardhi kwenye kambi ya makazi ya muda katika Mji wa Shiyuan wa Wilaya ya Jishishan katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 20, 2023. Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) na Jeshi la Umma la Polisi la China (PAPF) yametuma vikosi mbalimbali vya uokoaji katika maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China Jumatatu usiku. (Xinhua/Zhang Yongjin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha