Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2023
Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu
Wanajeshi wakigawa vifaa vya msaada kwenye kambi ya makazi ya muda katika tarafa ya Shiyuan ya Wilaya ya Jishishan katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 20, 2023. (Xinhua/ Zhang Yongjin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha