Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2023
Jeshi la China latuma vikosi mbalimbali vya uokoaji kukabiliana na tetemeko la ardhi mkoani Gansu
Wanajeshi wakiondoa vifusi vya majengo katika Kijiji cha Chenjia cha tarafa ya Dahejia ya Wilaya ya Jishishan katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 20, 2023. (Xinhua/ Feng Yanrong)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha