Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya
Watoto wa Shule ya Chekechea ya No. 1 katika Mji Mdogo wa Qianyuan ulioko Wilaya ya Deqing katika Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, kusini-mashariki mwa China, wakicheza ngoma za kiuno kukaribisha Mwaka Mpya, Desemba 27. (Picha na Ni Lifeng/Xinhua)

Mwaka mpya umekaribia, mitaa na vichochoro vimepambwa na mapambo ya kupendeza, na watu wanakaribisha mwaka mpya wa 2024 kwa shughuli mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha