Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2024
Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China
Wakazi wakifanya mazoezi ya kucheza ngoma ya dragoni katika Kijiji cha Guangnan kilichoko Wilaya ya Longsheng, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China. (Picha na Pan Zhixiang/Xinhua)

Likizo ya Mwaka mpya kwa kalenda ya jadi ya China 2024 itaanzia tarehe 10 hadi 17 mwezi wa Februari. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha