Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2024
Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China
Watu wakitazama taa za mapambo kwenye kituo cha michezo cha Mji wa Qianxi, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Januari 14, 2024. (Picha na Fan Hui/Xinhua)

Likizo ya Mwaka mpya kwa kalenda ya jadi ya China 2024 itaanzia tarehe 10 hadi 17 mwezi wa Februari. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha