Hong Kong yakaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa shamrashamra mbalimbali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2024
Hong Kong yakaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa shamrashamra mbalimbali
Mtaa wenye ngazi nyingi wa Sheung Wan katika Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong, China ukiwa una mazingira ya sherehe, huku mabango yenye maneno ya kutakia heri na Baraka yaliyoandikwa kwa mkono yakining'inia pande zote za mtaa. (Picha na Chen Xiaolin)

Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inapoendelea, mitaa na vichochoro vya Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong, China imepambwa kwa taa za kijadi na mapambo ya rangi, ambayo yakijaa hali ya furaha na shamrashamra za Sikuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Wakazi wa Hong Kong wana pilikapilika za kutembelea soko la maua, kununua vyakula na vitu vya mwaka mpya, kuandika matamanio ya maisha yao katika mwaka huu mpya na kadhalika. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha