Eneo la Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua ya Chengdu Mwaka 2024 kuanza shughuli za majaribio

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 11, 2024
Eneo la Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua ya Chengdu Mwaka 2024 kuanza shughuli za majaribio
Picha iliyopigwa Machi 8, 2024 ikionyesha mandhari ya eneo la Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua ya Chengdu Mwaka 2024 huko Chengdu, Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Xue Chen)

CHENGDU - Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua ya Chengdu Mwaka 2024 yataanza Aprili 26 hadi Oktoba 28, wakati ambapo matukio na shughuli za kitamaduni zaidi ya 2,000 zitafanyika.

Miundo mikuu ya eneo kuu la maonyesho hayo imekamilika, na maeneo mengine yanaendelea kujengwa. Eneo hilo la maonyesho linatarajiwa kuanza shughuli za majaribio mwishoni mwa Machi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha