Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika
Tarehe 10, Mei, wauguzi wenye uzoefu na walimu wa uuguzi wakiwakabidhia wanafunzi wa uuguzi mishumaa kama alama ya kumithilisha “kujiwasha kwa kuwapa mwanga wengine .” (Picha na Tan Yunfeng/Xinhua)

Siku hizi shughuli mbalimbali zimefanyika nchini China, ili kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa, ambayo ni tarehe 12, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha