Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika
Tarehe 10, Mei, wauguzi wa Hospitali ya pili ya Chuo cha Matibabu cha Xingtai cha Mkoa Hebei, China wakifanya mashindano ya kazi ya ufundi. (Picha na Zhang Chi/Xinhua)

Siku hizi shughuli mbalimbali zimefanyika nchini China, ili kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa, ambayo ni tarehe 12, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha