Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika
Tarehe 10, Mei, muuguzi mshiriki akifanya mazoezi ya AED+CPR katika chumba cha kusubiri mtihani cha Mashindano ya Kazi ya Ufundi wa Uuguzi ya Wilaya ya Wuzhi ya Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan wa China. (Picha na Wang Linfeng/Xinhua)

Siku hizi shughuli mbalimbali zimefanyika nchini China, ili kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa, ambayo ni tarehe 12, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha