Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Shughuli mbalimbali za Kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa zafanyika
Tarehe 10, Mei, wahudumu wa afya wa Hospitali ya Matibabu ya jadi ya China ya Mji wa Dongyang, Mkoa wa Zhejiang wa China walifanya matibabu bila malipo kwa wakazi wa Kijiji cha Dongfeng katika Jumba la Utamaduni la kijiji hicho. (Picha na Bao Kangxuan/Xinhua)

Siku hizi shughuli mbalimbali zimefanyika nchini China, ili kukaribisha Siku ya Wauguzi ya Kimataifa, ambayo ni tarehe 12, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha