Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa
Msichana akicheza ala ya jadi ya muziki ya Kichina aina ya guzheng kwenye shamba la alizeti lililoko Kijiji cha Donggaohe katika eneo la Fuxing la Mji wa Handan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Oktoba 1, 2024. (Xinhua/Yue Wenting)

Kipindi cha likizo ya Siku ya Taifa ya China, ambacho kilianzia Oktoba 1 na kinatarajiwa kufikia tamati Oktoba 7 mwaka huu, ni msimu wa pilika nyingi za watu kusafiri na kufanya utalii nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha