Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa
Wasichana katika mavazi ya jadi ya kikabila wakitumbuiza kwenye shughuli ya tamasha katika Wilaya ya Longchuan ya Eneo la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China, Oktoba 2, 2024. (Picha na Gui Jinzai/Xinhua)

Kipindi cha likizo ya Siku ya Taifa ya China, ambacho kilianzia Oktoba 1 na kinatarajiwa kufikia tamati Oktoba 7 mwaka huu, ni msimu wa pilika nyingi za watu kusafiri na kufanya utalii nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha