Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa
Watalii wakipiga picha za treni ya mvuke inayopita kwenye eneo la kivutio cha watalii katika Wilaya ya Jianwei ya Mji wa Leshan, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, Oktoba 2, 2024. (Picha na Zhang Xiang/Xinhua)

Kipindi cha likizo ya Siku ya Taifa ya China, ambacho kilianzia Oktoba 1 na kinatarajiwa kufikia tamati Oktoba 7 mwaka huu, ni msimu wa pilika nyingi za watu kusafiri na kufanya utalii nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha