Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China
Mvuvi akionyesha samaki mkubwa zaidi aliyekamatwa kwenye Ziwa Zhenhu katika Siku ya uvuvi wa majira ya baridi katika Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou katika Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Januari 11, 2025. (Picha na Tang Dehong/Xinhua)

Hivi karibuni, shughuli za uvuvi wa majira ya baridi zimeanza katika sehemu mbalimbali nchini China, zikionesha mavuno ya kuwafurahisha watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha