Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China
Watu wakivua samaki katika Ziwa Wolong lililoko Wilaya ya Kangping ya Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Januari 11, 2025. (Picha na Li Gang/Xinhua)

Hivi karibuni, shughuli za uvuvi wa majira ya baridi zimeanza katika sehemu mbalimbali nchini China, zikionesha mavuno ya kuwafurahisha watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha