

Lugha Nyingine
Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
![]() |
Picha iliypigwa kwa droni ikionyesha hali ya shughuli ya uvuvi wa majira ya baridi iliyofanyika katika eneo la kivutio cha utalii la Hasuhai la Mji wa Hohhot, Mkoa unaojiendesha wa Inner Mongolia, Kaskazini mwa China, Januari 10, 2025. (Picha na Li Zhipeng/Xinhua) |
Hivi karibuni, shughuli za uvuvi wa majira ya baridi zimeanza katika sehemu mbalimbali nchini China, zikionesha mavuno ya kuwafurahisha watu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma