Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
Shughuli za uvuvi wa majira ya baridi yafanyika sehemu mbalimbali China
Picha hii iliyopiga kwa droni ikionyesha watu wakitazama samaki waliovuliwa kwenye kando ya Ziwa Zhenhu wakati wa Siku ya uvuvi wa majira ya baridi katika Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou katika Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Januari 11, 2025. (Picha na Gu Jihong/Xinhua)

Hivi karibuni, shughuli za uvuvi wa majira ya baridi zimeanza katika sehemu mbalimbali nchini China, zikionesha mavuno ya kuwafurahisha watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha