Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Watu wakipiga picha mbele ya mapambo ya mwanga wenye kung’aa mjini Nanning, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Januari 18, 2025. (Xinhua/Zhou Hua)

Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yamefungwa na kupamba majengo, mitaa na barabara mbalimbali kote nchini China kwa ajili ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha