Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Picha ikionyesha watu wakipiga picha za mapambo yenye mwanga wa kung’aa katika Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Januari 18, 2025. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yamefungwa na kupamba majengo, mitaa na barabara mbalimbali kote nchini China kwa ajili ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha