Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Watalii wakitembelea maonyesho ya taa za kijadi mjini Chengde, Mkoani Hebei, kaskazini mwa China, Januari 18, 2025. (Picha na Liu Huanyu/Xinhua)

Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yamefungwa na kupamba majengo, mitaa na barabara mbalimbali kote nchini China kwa ajili ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha