

Lugha Nyingine
Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yafungwa kote China kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
![]() |
Bustani ya Beihai ikiwa imepambwa kwa taa za kijadi mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 19, 2025. (Picha na Li Menglan/Xinhua) |
Taa za kijadi na mapambo yenye mwanga wa kung’aa yamefungwa na kupamba majengo, mitaa na barabara mbalimbali kote nchini China kwa ajili ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma