

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
![]() |
Watoto wakijaribu kucheza ngoma ya kijadi ya dragoni kwenye shule ya chekechea katika mji wa Huangshan, mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Januari 17, 2025. (Picha na Shi Yalei/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zimefanyika sehemu mbalimbali nchini China kukaribisha sikukuu ya kuanza kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma