Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China
Wananchi wakishiriki katika mchezo wa kitendawili wakati wa shughuli ya kusherehekea Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China katika mji wa Jinhua, mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Januari 17, 2025. (Picha na Hu Xiaofei/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika sehemu mbalimbali nchini China kukaribisha sikukuu ya kuanza kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha