Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China
Watoto wakichagua mapambo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye supamaketi mjini Wuhan, mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 17, 2025. (Picha na Zhao Jun/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika sehemu mbalimbali nchini China kukaribisha sikukuu ya kuanza kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha