Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China
Watoto wakijaribu kucheza ngoma ya kijadi ya dragoni kwenye shule ya chekechea katika mji wa Huangshan, mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Januari 17, 2025. (Picha na Shi Yalei/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika sehemu mbalimbali nchini China kukaribisha sikukuu ya kuanza kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha