Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Wasanii wakifanya maonesho ya michezo ya sanaa kwenye maandamano ya kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China karibu na Ziwa Xihu katika Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Januari 23, 2025. (Xinhua/Han Chuanhao)

Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2025, hali ya furaha ya kukaribisha sikukuu hiyo muhimu kwa Wachina inaonekana katika sehemu mbalimbali nchini China. Watu wa China wanafurahia mila na jadi za sikukuu hiyo na kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za sikukuu hiyo. Kwa kalenda ya kilimo ya China, Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na kuanzia siku hiyo utakuwa Mwaka wa Nyoka wa jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha