Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha iliyopigwa Januari 22, 2025 ikionyesha watu wakiandika maneno ya kutakia heri na baraka kwenye karatasi nyekundu ya kubandikwa milangoni na dirishani wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Kijiji cha Guitou cha Wilaya ya Daoxian, Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Jiang Keqing/Xinhua)

Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2025, hali ya furaha ya kukaribisha sikukuu hiyo muhimu kwa Wachina inaonekana katika sehemu mbalimbali nchini China. Watu wa China wanafurahia mila na jadi za sikukuu hiyo na kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za sikukuu hiyo. Kwa kalenda ya kilimo ya China, Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na kuanzia siku hiyo utakuwa Mwaka wa Nyoka wa jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha