Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wafurahia mila na jadi za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha iliyopigwa Januari 22, 2025 ikionyesha taa za kijadi ambazo kila moja ina umbo la kichwa cha Mickey wa katuni kwenye Bustani ya Mapumziko ya Shanghai Disney. (Xinhua/Liu Ying)

Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2025, hali ya furaha ya kukaribisha sikukuu hiyo muhimu kwa Wachina inaonekana katika sehemu mbalimbali nchini China. Watu wa China wanafurahia mila na jadi za sikukuu hiyo na kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za sikukuu hiyo. Kwa kalenda ya kilimo ya China, Tarehe 29 Januari itakuwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na kuanzia siku hiyo utakuwa Mwaka wa Nyoka wa jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha