Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani
Watu wakitazama onyesho la ngoma ya simba kwenye shughuli ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China iliyofanyika kwenye ukumbi wa abiria kusubiri kupanda ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vancouver mjini Richmond, British Columbia, Canada, Januari 29, 2025. (Liang Sen/Xinhua)

Nchi nyingi duniani zimefanya shughuli mbalimbali kusherehehea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo kwa mwaka huu iliangukia Januari 29.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha