Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani
Watumbuizaji wakitumbuiza ngoma ya simba kwenye Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Kituo cha Utamaduni cha China mjini Contonou, Benin, Januari 25, 2025. (Picha an Zeraphin Zounyekpe/Xinhua)

Nchi nyingi duniani zimefanya shughuli mbalimbali kusherehehea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo kwa mwaka huu iliangukia Januari 29.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha