Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani
Mshiriki akijaribu vazi la kijadi la Kichina kwenye shughuli ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Mashariki ya Mbali cha Serikali ya Russia, mjini Vladivostok, Russia, Januari 29, 2025. (Guo Feizhou/Xinhua)

Nchi nyingi duniani zimefanya shughuli mbalimbali kusherehehea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi, kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo kwa mwaka huu iliangukia Januari 29.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha