

Lugha Nyingine
Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2025
![]() |
Watu wakishiriki kwenye paredi ya kubeba dragoni kwenye benchi la mbao katika Wilaya ya Xuan’en, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 30, 2025. (Song Wen/Xinhua) |
Watu wamekuwa wakifurahia shughuli mbalimbali kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo iliangukia Januari 29 mwaka huu. Sikukuu hiyo inaenda sambamba na likizo ya mapumziko ya siku nane kwa Wachina wote, ambayo huwapa fursa watu kujumuika na wanafamilia na kujionea shughuli na burudani mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma