

Lugha Nyingine
Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2025
![]() |
Wasanii wa kijadi wakifanya onyesho la Yangge katika Eneo la Lunan la Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Januari 30, 2025 (Zhao Liang/Xinhua) |
Watu wamekuwa wakifurahia shughuli mbalimbali kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo iliangukia Januari 29 mwaka huu. Sikukuu hiyo inaenda sambamba na likizo ya mapumziko ya siku nane kwa Wachina wote, ambayo huwapa fursa watu kujumuika na wanafamilia na kujionea shughuli na burudani mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma