Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2025
Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watu wakitembelea bustani ya kitaifa ya ardhioevu ya Xishuanghu katika Wilaya ya Donghai, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Januari 30, 2025. (Shao Guangming/Xinhua)

Watu wamekuwa wakifurahia shughuli mbalimbali kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo iliangukia Januari 29 mwaka huu. Sikukuu hiyo inaenda sambamba na likizo ya mapumziko ya siku nane kwa Wachina wote, ambayo huwapa fursa watu kujumuika na wanafamilia na kujionea shughuli na burudani mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha