Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya
Polisi wa Kikosi cha Polisi wa Mawasiliano barabarani cha Idara ya Usalama wa Umma ya Mji wa Zunhua, Mkoa wa Hebei akifahamisha ujuzi kuhusu usalama wa mawasiliano barabarani katika shule ya sita ya msingi ya majaribio ya mji wa Zunhua, Februari 13. (Picha na Xinhua/Zhou Shegen)

Siku hiyo, shule za chekechea, shule za msingi na za sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zilikaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya, wanafunzi walianza muhula mpya kwenye darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha