Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya
Wanafunzi wakivaa suti la kuzima moto kwa usaidizi wa mzimamoto katika shule ya msingi ya kituo cha Gecun, mji wa Jurong, mkoa wa Jiangsu, Februari 13. (Picha na Xinhua/Zhou Shegen)

Siku hiyo, shule za chekechea, shule za msingi na za sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zilikaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya, wanafunzi walianza muhula mpya kwenye darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha