Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya
Mzimamoto akifahamisha ujuzi kuhusu usalama wa moto kwa wanafunzi kwenye shule ya msingi ya mtaa wa Qinchun katika mji wa Huai’an, mkoa wa Jiangsu, Februari 13. (Picha na Xinhua/Zhou Shegen)

Siku hiyo, shule za chekechea, shule za msingi na za sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zilikaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya, wanafunzi walianza muhula mpya kwenye darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha