Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali la muhula mpya
Mfanyakazi wa Idara ya Uendeshaji Mashtaka ya Mji wa Xinghua, Mkoa wa Jiangsu akifahamisha ujuzi wa sheria kwa wanafunzi katika shule ya sekondari ya Zhouzhuang, Februari 13. (Picha na Xinhua/Zhou Shegen)

Siku hiyo, shule za chekechea, shule za msingi na za sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zilikaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya, wanafunzi walianza muhula mpya kwenye darasa la kwanza la ujuzi mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha